728x90 AdSpace

Breaking

Ads[none]

Ads[none]

Monday, June 12, 2017

Njia Nne za Kuingiza Pesa kupitia website ya EbongoShop.com


Ipo njia Nne za kupiga pesa au kupata kipato kupitia website ya Ebongoshop.com. Ukiwa katika nchi ya Tanzania ni rahisi zaidi kuingiza kipato hicho.

IJUE EBONGOSHOP KWANZA
Ni website ya kibiashara inayofanya mtandaoni. Website hiyo inatoa ofa kwa vijana kujiajiri kupitia website hiyo na kuingiza kipato chao.


NJIA ZA KUINGIZA KIPATO MTANDAONI

1. Kuuza Bidhaa kama unamiliki duka tayari.
ebongoshop inawapa ruhusa wafanyabiashara wa mkononi,Wamiliki wa Maduka ya kati na Makubwa kuuza bidhaa zao pamoja.

Ukiwa kama mmiliki wa Duka lolote unaweza kuuza bidhaa zako hapo na kutangaza bidhaa yako.

2. Kuuza Bidhaa zinazouzwa  kwenye hiyo website kisha utapata gawio lako. 
Unaweza kuingiza kipato kwa kuuza bidhaa zilizopo kwenye website hiyo kisha unapata Gawio lako hapo hapo baada ya bidhaa kununuliwa. Ukijiunga na njia hii utaweza kupewa link za bidhaa kisha utaweza kuziuza kwa kusambaza Link kwenye social media.

3.kujiunga na Affiliate Account
Affilliate account ni kwa wamiliki wa website nyingine na Blogs kuuza bidhaa. Mwenye Account hii hupewa code na kuziweka kwenye website au blog yake kisha huuza bidhaa hizi.
Njia Nne za Kuingiza Pesa kupitia website ya EbongoShop.com Reviewed by bongohotz on 3:03:00 PM Rating: 5 Ipo njia Nne za kupiga pesa au kupata kipato kupitia website ya Ebongoshop.com. Ukiwa katika nchi ya Tanzania ni rahisi zaidi kuingiza k...

Next
This is the most recent post
Older Post

No comments:

Ads[none]